Singles
03 Sep 2013 | Bongo Flava

Lyrics

Lala Salama by Diamond

Lala Salama by Diamond

(Chorus)
Ukilala lala salama kumbatia picha yangu

kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu
Uki! ukilala lala salama kumbatia picha yangu

matatizo chuki lawama vumilia mpenzi wangu
(Verse one)
Najua wivu ndo mapenzi ila chunga usizidi, Siunajua kwako sijiwezi ila dhiki imebidi
Mi nili’tamani sana mi kuwa nawe tuwe wote usiku na mchanaa

kilichofanya mi nipagawe sina chochote cha kuwalisha wana
Niliupokea kwa unyoge msiba wa kaka Bonda, ile barua yako ya mwisho ilinitonesha vidonda

Usije nilani kipenzi changu ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe.
Mambo bado magumu kwangu afadhali hata ya jana ya kesho niombee!

(Chorus)
Ukilala lala salama kumbatia picha yangu

kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu
Uki! ukilala lala salama kumbatia picha yangu

matatizo lawa vumilia mpenzi wangu
(Verse two)
Ile kuwa uone nilidhani maghorofa Aiiih!, Aah kumbe mwana ukome hakuna cha kuokota

Me bado! nakazamoyo changu kipenzi ila naumia kwakuwa mwenyewe
Natamani ila siwezi nazitafuta nije kula na wewe

msalimu mama nyumbani husiseme kama nahenya
Tai! mfiche mpe imani karibu nitakuwa chema

husije nirani kipenzi changu ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu afadhali hata ya jana ya kesho niombee
(Chorus)
Ukilala lala salama kumbatia picha yangu

Kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu
Uki! ukilala lala salama kumbatia picha yangu

matatizo chuki lawama vumilia mpenzi wangu

Comments

comments

admin

February 4th, 2014

No Comments

Comments are closed.